Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

80380ed4-633b-4123-a290-5425db9e4121.jpg
 
Tokea saa 2 mtu yupo humu jukwaa la kupewa likes za bure, nenda majukwaa mengine kachangamshe ubongo. Ukikaa sehemu moja akili inadumaa.... [emoji23] [emoji23] [emoji188] [emoji125] [emoji100]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si umenifurahisa sana G
 
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU MATANGO!
1. Usemi wa “baridi kama Tango” umetokana na uwezo wa tango kupunguza joto la damu. Ukiweka tango juu ya ngozi hupooza damu na uvimbe kwenye uso ndiyo maana matango ni maarufu kwenye utengenezaji wa nyuso.
 
2. Umepata mtoko ukasahau kubeba bublish ya kuweka harufu nzuri mdomoni? Usiwe na hofu, muuombe mhudumu akupe kipande cha tango, kiweke mdomoni kwa sekunde 30 kuondoa harufu mbaya mdomoni. Kemikali ya phytochemical iliyopo kwenye matango huua bacteria wanaosababisha harufu mbaya.
 
Back
Top Bottom