Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU MATANGO!
1. Usemi wa “baridi kama Tango” umetokana na uwezo wa tango kupunguza joto la damu. Ukiweka tango juu ya ngozi hupooza damu na uvimbe kwenye uso ndiyo maana matango ni maarufu kwenye utengenezaji wa nyuso.
matango, matango, matango,, matango yapi haya,, maana umeng'ang'ania na stor za matango
 
8. Unataka kusafisha bafu lako bila kutumia kemikali kali? Usihangaike, chukua kipande cha tango, paka pale unapotaka kusafisha, kama ni sinki au choo n.k itaondoa uchafu na kuacha bafu lako likiwa safi na lenye kung’aa.
 
Haujakukolea sawa sawa. Wakati unaanza kuna watu walikuwa wanakaa humu 24/7. Usione watu wana likes laki 4 na nusu ukawashangaa. They went through hell..

Mtu kama huyo kweli hata ukimtoa out si ataona kama unampotezea muda tu wa kuja kula likes? Au unamwandaa kumgegeda harespondi unashangaa whai kumbe anawaza likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], hatari hiyo
 
9. Umekunywa sana pombe?? Usijali, matango yana sukari, vitamin B na electroliti kujaza virutubisho vya mwili vilivyopotea, na kukuweka katika hali nzuri. Kula vipande vichache vya matango kabla ya kulala na utaamka bila maumivu ya kichwa.
 
10. Unahitaji nguvu ya ziada mchana na huna muda wa kujipumzisha?? Kaa mbali na vinywaji nya kuongeza nguvu kama Redbull! Matango ni chanzo kizuri cha vitamin B na kabohydreti ambayo inaweza kukupa nguvu unayoihitaji. Matango yanakupa mabawa.
 
Back
Top Bottom