Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Kanuni muhimu katika maisha ila isifanyike kwa hasira wala kwa lengo la kulipiza kisasi...
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Kanuni muhimu katika maisha ila isifanyike kwa hasira wala kwa lengo la kulipiza kisasi...
Matende?View attachment 775630 hater wanaita matende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji102] [emoji15]Nitamalizia la mwisho alafu nalala
Nashindwa kuunlock hizi code sasaBraza kweli hapo fm haishiki waka AM haikamati
Itakuwa ndoano hyoYaani uzi ndo ufanye NDOA ilege lege??? Hapana kabisa.
VizuriWenzio HATUPOI
[emoji20] [emoji20] [emoji20] yamekuwa hayo tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anhaaaaa. Ice ya man eeh
Konokono zao na maparachichi yao yalegeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matende?
Washindwe na walegee !!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kabisaaaa i loveee kitoo buyenze[emoji23][emoji23][emoji23]
Haujakukolea sawa sawa. Wakati unaanza kuna watu walikuwa wanakaa humu 24/7. Usione watu wana likes laki 4 na nusu ukawashangaa. They went through hell..Yaani uzi ndo ufanye NDOA ilege lege??? Hapana kabisa.
Kiu ya majiKiu ya nini?
Umenichekesha ujue....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unatafuta ligi
HahahaEeh braza alafu wakataka kufanya uhuni basi nguvu ya uma ikafanya kazi
[emoji173]Me too [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
@Pyaar. Naomba tafsiri kamili ya huu wimbo kama hutojali...ASANTE [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pyaar ongea na Shimba ya Buyenze.Mfundishe hiyo lugha maana nataka siku atakapo fika ghetto kwangu nimuwekee huo wimbo tuserebuke pamoja kwa kumshukuru Mungu kutufikisha hapa tulipo.
Mungu ni mkubwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]