matango, matango, matango,, matango yapi haya,, maana umeng'ang'ania na stor za matangoMAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU MATANGO!
1. Usemi wa “baridi kama Tango” umetokana na uwezo wa tango kupunguza joto la damu. Ukiweka tango juu ya ngozi hupooza damu na uvimbe kwenye uso ndiyo maana matango ni maarufu kwenye utengenezaji wa nyuso.
Ya jukwaa la siasa yaache huko huko. Ya huko kwingine yalete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaherini naenda jukwaa la siasa , MMU , intelligence halafu nitarejea hapa. [emoji48]
Jizazi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanini nishindwe?
Haina neno mkuu, nitafanya hivo
Pyaar ongea na Shimba ya Buyenze.Mfundishe hiyo lugha maana nataka siku atakapo fika ghetto kwangu nimuwekee huo wimbo tuserebuke pamoja kwa kumshukuru Mungu kutufikisha hapa tulipo.
Mungu ni mkubwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Leo mmechill tuu?Hapana ni maskani tu
Pengine wako wote. Ila kama hawako wote kuna tatizo mahala...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mi najiskia kumwita hata saa hizi ujue, atujuze leo kijana vip
[emoji23][emoji23][emoji23], hatari hiyoHaujakukolea sawa sawa. Wakati unaanza kuna watu walikuwa wanakaa humu 24/7. Usione watu wana likes laki 4 na nusu ukawashangaa. They went through hell..
Mtu kama huyo kweli hata ukimtoa out si ataona kama unampotezea muda tu wa kuja kula likes? Au unamwandaa kumgegeda harespondi unashangaa whai kumbe anawaza likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanifurahishaga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni gari [emoji23]
Nawaletea biashara ya forex. [emoji23] [emoji48]Ya jukwaa la siasa yaache huko huko. Ya huko kwingine yalete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ki mziki hakuwa na uwezoWaandaaji walizingua sana sio siri hawakufanya sawa
Punguzeni umbea jamani [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aione carba
Sijui sasa effect ipo kwenye camera au kwa mpigwa picha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am shaking the table hapa, Akija mwenyewe sjui itakuwaje.
Ila wewe huwa huoni kuna angle akidakwa anakuwaga kama 60 yr old na kuna sometimes anakuwa 35 yr old tena
matango yanakupa mabawa!! haya matango haya[emoji16]10. Unahitaji nguvu ya ziada mchana na huna muda wa kujipumzisha?? Kaa mbali na vinywaji nya kuongeza nguvu kama Redbull! Matango ni chanzo kizuri cha vitamin B na kabohydreti ambayo inaweza kukupa nguvu unayoihitaji. Matango yanakupa mabawa.
ASANTE SANA NA MUNGU AKUBARIKI WEWE PAMOJA NA VIZAZI VYAKO [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Haina neno mkuu, nitafanya hivo
Sijui sasa effect ipo kwenye camera au kwa mpigwa picha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am shaking the table hapa, Akija mwenyewe sjui itakuwaje.
Ila wewe huwa huoni kuna angle akidakwa anakuwaga kama 60 yr old na kuna sometimes anakuwa 35 yr old tena