Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si muda mrefu sana ni mwaka mmoja hivi kama si miwili, Kwetu huwa hatukui, Nina dada wa mwaka 1970 lakini anaonekana kama binti, Sister yangu mwingine ni wa 1982 mwingine 1984 Lakini wanaonekana kama mabinti.
Hongereni sana, basi itakuwa mnakua KIAKILI sana kuliko kimwili...[emoji120][emoji120][emoji120]

Yaani waonekana wa juzi kabisa, bila shaka ni wa 1988.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…