Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Kweli kabisa, lakini hana roho mbaya Reginald, anaonesha ushirikiano.Ndio hapo sasa, yeye alitakiwa akujali kwanza wewe mana muda wowote unaweza kutuaga humu
Kweli kabisa, lakini hana roho mbaya Reginald, anaonesha ushirikiano.Ndio hapo sasa, yeye alitakiwa akujali kwanza wewe mana muda wowote unaweza kutuaga humu
AminAsante Mungu Mwenyezi kwa kutupatia siku nyingine.
AminUwakumbuke wafungwa ktk vifungo vyao
AminTunaomba uwapatie nguvu wagonjwa ktk udhaifu wao.
AminUkautulize upepo & mawimbi ya bahari ili wasafiri wafike salama huko waendako.
AaminMungu Mwenyezi uwarehemu wale walio waaminifu ktk kazi ya mikono yao, Uwabariki wana na binti zako wadumu ktk uaminifu.
Kuna muda tulitoka hapa ndani, Lakini pia mida hii ya mbwa mwitu, Ndo mida ya wengi kuanguka chali!Jahazi lizame kwa lipi mkuu, mbona naona timu imeenea!!!?
Kuelekea alfajiri
AminMungu atupe afya na uzima
Kidogo tu ungepatia, 30+Hongereni sana, basi itakuwa mnakua KIAKILI sana kuliko kimwili...[emoji120][emoji120][emoji120]
Yaani waonekana wa juzi kabisa, bila shaka ni wa 1988.
Oooh! Basi vizuri mkuu.Kidogo tu ungepatia, 30+
Unatumiaga kajina gani vile?Sijazurura insta leo,ngoja niende
Ze winta izi kamingi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dadiiii izi kamingi baki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante, & kwako pia. Lakini mimi bado huenda hata majogoo maana sina hata lepe la usingizi.Oooh! Basi vizuri mkuu.
Uwe na usiku mwema.