Muda wa wewe kulala mchana ni mfupi sana kati ya dakika 20 mpaka 25. Hivyo hata kama unafanya kazi unaweza kutenga dakika 20 baada ya chakula na ukasinzia au kulala kidogo. Sio lazima ulale kitandani, hata kkuinamisha kichwa chako kwenye meza inakutosha kunufaika na usingizi huo. Anza sasa kujilaza dakika 20 na uboreshe maisha yako.
Wengi wetu tumekuwa ni watumiaji wazuri wa simu zetu pengine hata kufikia kulala nazo kitandani ama tukitaka tusipitwe na simu fulani ya muhimu ama kwa sababu tunapitiwa na usingizi wakati bado tunachati.
Jambo la kwanza ni kwamba simu kama kifaa cha kielektroniki inaweza kusababisha shoti ya umeme muda wowote hasa ikiwa inachajiwa, hili linzweza kusambabisha madhara mengi ikiwamo lile la moto. Pia kwa bahati mbaya wengi wetu huwa hatusomi maelezo ya jinsi ya kutumia simu zetu na mara nyingi kuna matumizi ya chaja zisizokuwa rasmi na zilizochini ya ubora…na muda mwingine ata betri za simu zinazonunuliwa muda wa kubadilisha zinakuwa zilizochini ya kiwango.

Jambo la pili ni kwamba kwa kutumia simu kitandani kuna uwezekano mkubwa sana ukaharibu mfumo wako wa usingizi, ingawa wengi wetu hatujali sana hili lakini ni kweli kwamba ufanisi wako wakati wa mchana unategemea hasa ulilalaje wakati wa usiku. Mwanga unaotokana na simu yako unasifika kwa kubadili namna ambayo wewe ulikuwa unalala na mwanga huu hukufanya usilale na kupumzika vizuri.
Inaaminika kwamba simu zinatoa mionzi ambayo inaweza kusababisha kansa, ingawa hili bado limewagawanywa watafiti lakini hata shirika la afya duniani limeisha waonya watu dhidi ya madhara hayo ambayo bado yanachunguzwa. Watafiti bado wanaendelea kufanya uchunguzi ila kuna tafiti mbalimbali zinakuja na matokeo tofauti – wengine wakisema hakuna uhusiano kati ya utumiaji simu na kansa huku wengine wakisema uhusiano upo ila ni mdogo na madhara ya utumiaji yanatokea miaka mingi sana baadae. Hapa tunakuachia wewe – ila ushauri mzuri ni BORA KINGA…

Kwa waliopo na wanaotarajia kuanzisha biashara ni muhimu kuzingatia nguzo zilizopo ili kufanikisha miradi yao na kukuza kipato kama walivyokusudia. Kila mfanyabiashara na mjasiriamali anapaswa kuzifahamu nguzo hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.