Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mama yangu wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu daima milele eeeeeh

Mama yangu wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu
Mawazo yako MAMA yanaongoza maisha yangu yooootee.

Nikisema nikulipe itanigharimu maisha yangu yote
Nikisema nikuzawadie sioni chochote kile unachostahili

Ninachoweza sema NAKUPENDA sana mama
Nakushukuru kwa yale yote mema ulotenda kwangu

ASANTE SANA MAMA woooooooh!
[emoji444][emoji444][emoji445][emoji443][emoji444][emoji445][emoji445][emoji443]

HAPPY MOTHER'S DAY..

Napenda kuwatia moyo na kuwafariji wale wote wanao itazama siku hii ya leo kiutofauti , wale wote ambao mama zao, wapendwa wao, MISINGI YAO haipo tena duniani.

Mungu wetu ni wa rehema mno, hatutapungukiwa na chochote, yeye ni baba na mzazi...

Msihuzunike, msifadhaike, Mungu yu pamoja nanyi atawasaidia, atawakumbatia, atawafariji na kuwashika kwa mkono wa kuume wa HAKI yake.

Tutende mema bila KUKOMA.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Haki Mungu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba izi ini trabo leo
 
Acha mambo hayo wewe unataka kuwa kama mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…