[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio unavyojifariji jiraniKing messi ni sawa na King Kiba tuu
[emoji23]
Hata angekuwepo mngefungwa
Unafeel guilty kwa kosa lipi??acha izo mambo bhana.Mi huwa naskitika niende kwa jukwaa halaf watu wanapungua i feel guilty
ukiondoka wewe na mimi am done
[emoji124]
Aisee!!1.simba wanapopigana hukimbilia kung'ata na kunyofoa mapumbu na simba aliyenyofolewa mapumbu hushindwa tena kuzalisha na kusambaza damu yake ,
Hahahaha
Anaimba kwa eksipiriensi
Ni jana ila leo carb kaizoom moodHahahahaa
Toka jana uko kwa mood hiyo
Heeeh unanigeuka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia bhana
Numbisa bring back our yenze [emoji2]
Ni jana ila leo carb kaizoom mood
Mkuu usile viapo vya ajabu kiasi hicho fb ufate nini au unataka kuharibu wanafunzi?Niamini mimi akishinda naondoja jf
Ntafungua akaunti fb tuu sasa
Heeeh unanigeuka?
Na yako pia...Basi hiyo si nzuri kwa afya ya akili yako[emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio unavyojifariji jirani
Hahah! Nitakuletea episode ya pili muda sio mrefu. ...Kwani story ikaishia wapi au ni episode kwa episode [emoji23][emoji23]
Aaah!! Sawa tu wewe nikataeAcha kunisingizia bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafeeel labda nilileta energy inafukuza watu [emoji23]Unafeel guilty kwa kosa lipi??acha izo mambo bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikiondoka tutaondoka wote usijali
Likely akiwa kwenye mapumziko anaandika kilicho mtokeaInawezekana anaimba matukio yanayomtokea kwa kipindi hiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siamini kama ulikua unanijaza ili unipige majungu kiasi hichiInawezekana anaimba matukio yanayomtokea kwa kipindi hiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakazia[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]