Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,104
- 9,116
Niko hapa
Wimbo gani hiyo[emoji445]I will be on ur side forever more [emoji443]
Keep smiling, keep shining[emoji445] always u can count on me, thats what friends are for, for good time and bad time [emoji445][emoji443]
Unaitwa "thats what friends are for" by Diane Warwick, aliuweka jana BakWimbo gani hiyo
[emoji116]Unaitwa "thats what friends are for" by Diane Warwick, aliuweka jana Bak
Kaimba na james ingram eeh?Unaitwa "thats what friends are for" by Diane Warwick, aliuweka jana Bak
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye kumtuliza sasa!!uuuwiiiiiiHahah! aya mtulize huyo iceman mana akishikilia kitu hadi siku iishe hivyo
Achana naye kabisa,ukimkuta kwenye anga zake kama si yeye wa humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ayiiii! Aseee Numby si mtu mzuri
Aliwahi chukua kijiji kwenye uzi flan hivi
Niliogopa hata kujibu kitu nsije nikajumlishwa
Wako wengi, kuna Luther Vandross, Whitney Houston, Steve Wonder nadhani na huyo yupoKaimba na james ingram eeh?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye kumtuliza sasa!!uuuwiiiiii
Hahah!! Niswala la kumwambia tu kua wewe ndio ulinijaza[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye kumtuliza sasa!!uuuwiiiiii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nitulize bas
Ata leo umevurugwa ila bado tu hujalitambua hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna mpaka niwe nimevurugwa
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maandalizi ya jezi nyingine mara paap shiro na kasmat wengine wanaibuka