Ipo 1 kwa mwaka. Tarehe zinatofautiana kwa nchi na nchi. Inawezekana ulikua Norway ukaenda UK ukaenda korea na mexico then ukarudi bongo. So lazima uone zipo 6 kwa mwaka. HahahaaaHivi mothers day ziko ngapi?
Maana mwaka huu tu tumeshereheka mara 6 sjui
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Khaaaa!
Kwa vatu voooteJioni njema wooote
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hizo siku nyingine zote status zinajaa mipicha ya wazinzi wenzao tu.Halafu anamalizia na [HASHTAG]#MothersDay[/HASHTAG]
Fake Life!
Kama kawaidaLikes zinaendelea kutolewa
M city kabebaEPL inaaga leo
KweliTusuburi msimu ujao tena
uqinisile umfowethuIntombi entle. Wamuhle
JuneUrusi 2018
TumepoaPoleni na mapumziko
WamepoaPoleni wagonjwa Mungu awaponye wooote
Tumepoa ndugu msafiriPoleni wasafiri wooote
[emoji16] [emoji16] [emoji16] aisee,wakat huo mama zao wapo vijijini huko hata kipande cha sabuni tu hanaYaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hizo siku nyingine zote status zinajaa mipicha ya wazinzi wenzao tu.
Tumepoa lakini jaribuni kutukumbuka kwenye bei za mazaoPoleni wakulima wooote
WamepoaPoleni mnaolea nyumbani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ipo 1 kwa mwaka. Tarehe zinatofautiana kwa nchi na nchi. Inawezekana ulikua Norway ukaenda UK ukaenda korea na mexico then ukarudi bongo. So lazima uone zipo 6 kwa mwaka. Hahahaaa
Sherehe nyingine ni ya wanawake duniani ambayo sio kila mwanamke ni mama [emoji4][emoji4][emoji4]