Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wanawake mnapenda visherehe sasa zote hzo utakuta dunia nzima mna sherehekea
Mi ntakuwa nachagua moja tu ya kuwajumlisha wote
Ndio hata kny mambo ya harusi. Mwanamke ana kitchen party, sendoff na mengineyo kabla ya ndoa, mwanaume ana ndoa tu (labda wa dar nao wana sijui vitu gan) [emoji6][emoji6][emoji6]sherehe jadi yetu [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom