Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi mothers day ziko ngapi?

Maana mwaka huu tu tumeshereheka mara 6 sjui
Ipo 1 kwa mwaka. Tarehe zinatofautiana kwa nchi na nchi. Inawezekana ulikua Norway ukaenda UK ukaenda korea na mexico then ukarudi bongo. So lazima uone zipo 6 kwa mwaka. Hahahaaa

Sherehe nyingine ni ya wanawake duniani ambayo sio kila mwanamke ni mama [emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wanawake mnapenda visherehe sasa zote hzo utakuta dunia nzima mna sherehekea
Mi ntakuwa nachagua moja tu ya kuwajumlisha wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…