Ndio hata kny mambo ya harusi. Mwanamke ana kitchen party, sendoff na mengineyo kabla ya ndoa, mwanaume ana ndoa tu (labda wa dar nao wana sijui vitu gan) [emoji6][emoji6][emoji6]sherehe jadi yetu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wanawake mnapenda visherehe sasa zote hzo utakuta dunia nzima mna sherehekea
Mi ntakuwa nachagua moja tu ya kuwajumlisha wote
Aiseeee yaani wa dar wanamaisha magumuNdio hata kny mambo ya harusi. Mwanamke ana kitchen party, sendoff na mengineyo kabla ya ndoa, mwanaume ana ndoa tu (labda wa dar nao wana sijui vitu gan) [emoji6][emoji6][emoji6]sherehe jadi yetu [emoji39][emoji39][emoji39]
HahahahaaaNdio hata kny mambo ya harusi. Mwanamke ana kitchen party, sendoff na mengineyo kabla ya ndoa, mwanaume ana ndoa tu (labda wa dar nao wana sijui vitu gan) [emoji6][emoji6][emoji6]sherehe jadi yetu [emoji39][emoji39][emoji39]
Utampangia mwanamke asifanye? Tena km kwao walikua wachangiaji wazuri kwa watu hawawezi kuacha shereheHahahahaaa
Nimewashindwa kwa kweli
Harusi yangu haitakuwa nashughuli zote hzo
Which one?I miss every little thing
Kwanza mi ntamrosha tuuuUtampangia mwanamke asifanye? Tena km kwao walikua wachangiaji wazuri kwa watu hawawezi kuacha sherehe
Na kwa akili zako hukawii kufanya hivyo muone kwanza. Tena usikute tayari umetorosha mtuKwanza mi ntamrosha tuuu
Hata haris hatufungi
[emoji125]
Those little thingsWhich one?
Njoo unitajie PMThose little things
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kwa akili zako hukawii kufanya hivyo muone kwanza. Tena usikute tayari umetorosha mtu
Utarogwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I will