Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

32313485_10155740802232746_2013003403008933888_n.jpg
 
Hawa ni wanyama watatu ambao ndio wanaweza kukaa muda mrefu zaidi bila kunywa maji, Elewa kuwa sio kwamba hawanywi maji.

Maji wanakunywa lakini kwao hata wakikosa maji hakuna tatizo na wanaweza kukaa Muda mrefu bila kunywa maji.
 
Back
Top Bottom