Wanapatikana huko Amerika ya Kaskazini katika maeneo ya majangwa. Ana kichwa kikubwa pamoja na macho, miguu ya mbele ni mifupi lakini miguu yao ya nyuma ni mirefu.
Ukiachana na hilo pia, katika Figo mrija wa Loop Of Henle ni mrefu sana tofauti na wanyama wengine hali inayosababisha usafirishaji wa mkojo na upotevu wa maji kuwa wa kiasi kidogo sana.
Pia sababu nyingine Hawa Panya wanaishi Jangwani sehemu ambayo kuna joto sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.