Ukiachana na hilo pia, katika Figo mrija wa Loop Of Henle ni mrefu sana tofauti na wanyama wengine hali inayosababisha usafirishaji wa mkojo na upotevu wa maji kuwa wa kiasi kidogo sana.
Pia sababu nyingine Hawa Panya wanaishi Jangwani sehemu ambayo kuna joto sana.