Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Track ID

App hii inamilikiwa na Sony Mobile Communication. Kitu kizuri kuhusu App hii ni kuwa, inapatikana katika kwa lugha zaidi ya 60.
 
1526281936903.jpg
 
Kama ilivyo Shazam, nayo inafanya kazi hivyo hivyo.

What’s That Song?

Kwa hapa, App Hii inaendelea kuthibitisha uchawi wa Teknolojia. Yenyewe unahitaji kuzungumza maneno kadhaa ambayo ulikuwa umeyashika katika Wimbo Huo na sio kuimba, ambapo App hii itafanya kukuleta nyimbo kadhaa zinazoendana na kile ulichokisema kwenye kinasa sauti cha Simu yako
 
Identify Music

Kama kawaida hii nayo inakupa majibu ndani ya Sekunde chache sana. Hii hufanya kazi kwa kuisikilizisha Simu yako wimbo unaohitaji kujua. Na haiishii kukupa jina la wimbo, msanii na albamu bali inakupa hata mapendekezo ya Nyimbo nyingine ambazo zinaendana na hiyo.
 
BREAKING NEWS: Tarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna fununu kuwa Muigizaji maarufu nchini Tanzania Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameachiwa huru na inaripotiwa tayari ametoka Gerezani. : Chanzo chetu cha habari hakijaeleza kama ametoka kwa msamaha wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli uliotoka tarehe 26 mwezi wa 4 au alikata rufaa na ameshinda au yupo nje kutumikia kifungo cha nje kwa Mujibu wa Sheria.
 
Muigizaji Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Magereza yathibitisha [HASHTAG]#MwananchiUpdates[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom