Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Salama (22), dada wa Mbunda ambaye pia ni mlemavu alisema hakuamini kama kaka yake angepata mke kutokana na hali yake.
Alisema Mbunda alishapata mwanamke akazaa naye lakini akakataa kuolewa kutokana na ulemavu.
Jivunie Mbunda ni mtoto wa pili kati ya watoto saba wa familia ya Mbunda na kati yao watatu ni wenye ulemavu