Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahhahaha hapana mkuu watoto wengi humu ila nawafungulia njia mnao sema wachache mnashindwa kufungukaRais naona unatumia kitengo chako vizuri
Hamna mpenzi hapo tulikuwa tunazungumzia upasuaji wa moyoHahaa mara hii mshaanza kuvurugana hadi kumoyo
Go and get itFocus and go get it
Mtoto muzuri amefanyaje tena mkuuAsante malkia mwema. Nami pia nakusalimia. Nipo nawacheki vijana akina Kichwa Kichafu mnavyowahangaisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu hadi chumbaniNipo nilienda break kidogo
Mnaenda pluto ama?Tuanze kuishi dunia yetu mama
Fursa gani mkuu? Tutumie kufahamiana na kutaniana huku kupeana maarifa juu ya fursa za kijasiriamali. Tayari hapa nimeshapata watu wawili walionipa mawazo mapya kuhusu maisha. Kutongoza tongozeni lakini na fursa za maana zikija pay attention. Kuna watu wa kila aina humu na usione avatar ya mtu ukamdharau. Anaweza kuwa milionea huyo au masikini tu lakini ana mawazo yanayoweza kukuonyesha another angle ya maisha...SHIMBA YA BUYENZE mzee wa fursa
Kweli kabisaLove is all around me
Asante na wewe pata like kwanzaKaribu uzi pendwa.
Pokea likes toa likes post uwezavyo ndio rule ya huu uzi
Hahaantarudi saa 3 kusikiliza wale wa kunong'ona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaenda pluto ama?
Napenda nyimbo zakeDon Williams
Huko ni kufeli kuzuri. You did your best na huna haja ya kuona aibu. Dust yourself and keep on marching forward. You have my respect sir.Malengo yamefika ila nimefeli
They are the futureI believe in children