carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Baada ya mbio za 70k
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Fursa gani mkuu. Tutumie kufahamiana na kutaniana huku kupeana maarifa juu ya fursa za kijasiriamali. Tayari hapa nimeshapata watu wawili walionipa mawazo mapya kuhusu maisha. Kutongoza tongozeni lakini na fursa za maana zikija pay attention. Kuna watu wa kila aina humu na usione avatar ya mtu ukamdharau. Anaweza kuwa milionea huyo au masikini tu lakini ana mawazo yanayoweza kukuonyesha another angle ya maisha...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Don Williams
Treasure from ALMIGHTY ONEThey are the future
Pata likes weka likesAisee nimerudi naombeni likes za week nzima
Case study yangu ya kutokujiamini sana. Uchaguzi mwaka ule hakuwa na mpinzani katika Ubunge Nyamagana tena waziri wa mambo ya ndani. Kiwenje kikatokea from nowhere kikampiga chini. In life don't underestimate anything!Lawrence masha
"I believe in love" ndio alikatama sana huo wimboNapenda nyimbo zake
Yup[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sambaza likes piaAisee nimerudi naombeni likes za week nzima
Believe me! Mimi pia nazipenda sana"I believe in love" ndio alikatama sana huo wimbo
Huku mambo ya like tuWakuu vipi huku
Haya...kula likeKuna ishu fulani anahangaika nayo anahitaji msaada wangu. Karibu atashinda!
Tizirudie tuu mm na ww tukatoe likes basiiKuna post huku nyuma hazina like kabisa