Poa poaKumbuka kutoa likes mkuu
TayariKaribu mkuu
Toa likes pata likes.
Me o ke?
Mara ya ngapi hii umekamatwa ugoni?Ila bado hujaacha kuiba vyakula kwenye vikao vya harusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiUdomozege mwikoooo !!!
Kama kawaida[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Kumbuka kutoa likes kama utaratibu ndio lengo la uzi
Hahaa mbona kama wanataka kudondoka
Rais naona unatumia kitengo chako vizuriNimekuja mama acha huyo anajali majukumu zaidi yako.
Karibu kwenye ulimwengu wa kupetiwa petiwa kwa kichwa
Kuna ishu fulani anahangaika nayo anahitaji msaada wangu. Karibu atashinda!Kufanyaje kuhusu nini tena??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaa mara hii mshaanza kuvurugana hadi kumoyoPenda sana wewe toto unaviruga kumoyo kweli kweli mama
Karibu nipo vizuri kwenye kukamatia miunoMwenzenu Nimemiss kucheza taarabu
Kwa huyu Andjul yuko tayari kuishi hata motoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakutafuta wapi tukawe na good timeMazeiyaa weekend wapi??
With You by my sideEverything is just perfect!
Indeedsiku ilikuwa nzuri
Vina...Una kipaji cha ushairi mkuu!Nasonga
Kwa Mwendo wa kinyonga
Kesi yako unaleta kwangu juzi si umekamatwa ugoni ukasahau funguo za gari ndani ya nyumbaMara ya ngapi hii umekamatwa ugoni?
Pozi hiloHahaa mbona kama wanataka kudondoka
Asante malkia mwema. Nami pia nakusalimia. Nipo nawacheki vijana akina Kichwa Kichafu mnavyowahangaisha [emoji23][emoji23][emoji23]Nakusalimia