Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku tukithubutu kujua historia za mama zetu nina uhakika ndio utakuwa mwisho wa NENO hilo chafu. Mungu nisamehe kwa kauli hii. RIP mama andjul(miaka 18 imepita bado nakukumbuka)
Pole mkuu. Wangu bado yupo japo kazeeka na anaumwa umwa. Nahakikisha kuwa nafurahia every moment. Tunakaa jioni hashikome ananisimulia walivyokutana na mshua, stori zake za ujana, tunaimba na nyimbo kabisa. Zote nazirekodi kwa faida ya wanangu watarajiwa siku moja. Mungu ni mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…