Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
AISEEEEAyii ni wewe
ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewee!!
Nikifa uzikwe na miee...
Oooh baby weeeeeee...
Ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogesheeee
Ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogesheeee..
Aaaaah kwachukwachu kushea
na watu sitaaaaki oooh baby
Bodaboda yangu vipi nipande mishkaki ...... Siweziiiiii
Rahaa, raha tupu
kupendana na weweé
Raha tupu.....
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
[emoji177][emoji177][emoji176][emoji176][emoji177][emoji176][emoji176][emoji177]
Nakubali harakati zako maombi yangu ufanikiwe tuSalama bro naona umefanya ziara ya kushtukiza ukanikuta nafanya yangu
[emoji23][emoji23]Aninogesheeee
[emoji23][emoji23][emoji23]Salama?AISEEEE
Screen shot haina uthibitisho wa kueleza uzi ulikua unasema nini?Skrinishoti imebaki[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usalama upo, nitafanyaje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Salama?
Hahah!! Mkuu mkuu..Nakubali harakati zako maombi yangu ufanikiwe tu
Hilo ndo la kumshukuru Mungu, mengine mbwembwe tu mkuu.Usalama upo, nitafanyaje sasa
Mbwembwe mi pia naziwaziaga, sio kwa kumnogesha hukoHilo ndo la kumshukuru Mungu, mengine mbwembwe tu mkuu.
Wapi huko???Hahah!! Mkuu mkuu..
Alafu ule post yetu aisee imekula likes nyingi sanaaa
Na hapa umefanyaje?Leo natoa likes tu... Sina cha ziada kukomenti.
Kule kwa house girlWapi huko???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mbwembwe mi pia naziwaziaga, sio kwa kumnogesha huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule kwa house girl
Ila fresh acha nife na tai shingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],