Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati Leonardo ameshakua, aliandika vitu viwili tu kuhusu maisha yake ya utotoni. Alikumbuka kwamba alivyokuwa amelala kwenye kitandachake cha watoto nje ya nyumba yaondege mkubwa alikuwa akipaa na kumzungukazunguka juu yake. Mikiayake ikawa inamfutafuta sura yake.Kumbukumbu nyingine muhimu ya Leonardo ilikuwa vipi aligundua pangomilimani wakati anapeleleza. Alikuwa na hofu kubwa sana huenda kukawa nakiumbe kikubwa cha ajabu kimejificha mle ndani ya pango. Lakini pia alikuwa na hamu na shauku ya kujua kilichopo mle ndani.
 
Giorgio Vasari aliandika kuhusu maisha ya Leonardo kwa ufupi baada ya kifochake. Ameelezea hadithi za kuvutia kibao kuhusu utundu aliokuwa nao Leonardo. Anasema kwamba Leonardo alichora bamba la taarifa la mbao-mzunguko likiwa na picha ya mijoka inayotema moto. Messer Piero alichukua michoro ya mwanawe hadi Florence na kuiuza kwa wauzaji wabidhaa za kisanaa.
 
Ujana na utu uzima
Leonardo alianza kuchora tangu yungali bado kijana. Alifunzwa usanii na mchongaji na mchoraji Verrocchio.
Sehemu kubwa ya maisha yake alimtumikia tajiri mmoja maarufu wa Italia.
Mwaka 1516 Leonardo alikwendaAmboise, Ufaransa, baada ya kupatamwaliko kutoka kwa mfalme Fransisko I. Kati ya mizigo aliyosafiri nayo ulikuwemo mchoro maarufu waMonalisa.
 
Leonardo aliishi mjini Amboise, katikanyumba yake nzuri aliyopewa naMfalme huyo wa Ufaransa, miaka yake ya mwisho, toka mwaka huo mpaka mwaka 1519.
Afya yake haikuwa nzuri kwa sababu alipatwa na ugonjwa wa kiharusi toka mwaka 1517, lakini taarifa za ugonjwa wake zikatolewa wiki chache kabla ya kifo chake.
Kifo
Alifariki huko Amboise tarehe 2 Mei 1519 akiwa na umri wa miaka 67, akazikwa St. Hubert.
 
Noël Isidore Thomas Sankara (* 21 Desemba 1949 mjini Yako (Volta ya Juu; † 15 Oktoba 1987 mjini Ouagadougou) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa nchiniBurkina Faso. Kuanzia 4 Agosti 1983 hadi kuuawa mwezi wa Oktoba 1987 Sankara alikuwa rais wa tano wa Volta ya Juu au Burkina Faso.
 
Leonardo aliweza kufanya vitu vya aina nyingi vya kijanja, lakini alikuwa maarufu sana kama mchoraji. Watu wengi hufikiria kwamba Leonardo alikuwa mmoja kati ya wachoraji bora wa historia yote. Amefanya michoro mingi sana. Miongoni mwa picha zake, mbili zilizo maarufu zaidi duniani niMona Lisa na Karamu ya mwisho.
Monalisa na Karamu ya mwisho picha tata sana hizi
 
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya ACB vitabu vya mikopo vimetikisika na kushindwa kuleta tija itakayowafanya waweze kujiendesha
-
Wafanyakazi kazi watakaoathirika(kupunguzwa) kutokana na mabadiliko haya watapewa taarifa (nitisi) ndani ya siku 30 kutoka leo
 
Rais
Sankara alibadilisha jina la nchi kuwa Burkina Faso. Alijulikana hasa kwa amri yake ya kuwa mawaziri na maafisa wote wa serikali yake wasitumie magari makubwa bali gari ndogo aina ya Renault 5 ilikuwa gari la bei ya chini iliyopatikana nchini.
 
Back
Top Bottom