Me nimeshapita hukoTizirudie tuu mm na ww tukatoe likes basii
kumbe unazisoma! mimi naweka like hata mtu akinitukana sijuiNacheka post za humu ndani walahi
Nisamehe tu hapa nimeshindwa kitufe cha like sikioni
Hahaa hata mimi nimeona,haya mnapasuana sangapi?Hamna mpenzi hapo tulikuwa tunazungumzia upasuaji wa moyo
HahaaAsante malkia mwema. Nami pia nakusalimia. Nipo nawacheki vijana akina Kichwa Kichafu mnavyowahangaisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Trust me kuwa na amani! That's my nature!Nisamehe tu hapa nimeshindwa kitufe cha like sikioni
Te'me