Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kagumu ka CHACHAWA. Jeshi la mtu mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha nini?pokea dedikesheni hiyo acha kujishaua[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
HahahahahahWewe unaweka habari nzima nzima. Numbisa anakata kata tuvipande tudogo tudogoooooo...Safi sana. Tuelimisheni na kutuhabarisha tu...
Aisee... Mungu ni wa ajabu sanaNi madaktari wazuri sana japo wanafanyia kazi katika mazingira magumu. Nilifanyiwa operesheni kubwa pale hata nilipokwenda kuangaliwa na hao wa huko tukuitako majuu wakasema daktari aliyeifanya alikuwa bingwa na mweledi sana. Ambacho sikujua ni kuwa operesheni ile ni mojawapo ya operesheni ngumu sana na hatari mno. Ajabu sasa aliyenifanyia hakuwa hata na wasiwasi na nadhani alikuwa na hangover ya kufa mtu kwa sababu alikuwa ananuka pombe balaa. Mungu ni mwema. Apumzike kwa amani Prof yule [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pesa zipo bila shaka. Au ni hilo saksafoni lako nene zito refu lililopinda unalojivuniaga [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kuna mmoja aliwahi kunidanganya eti "bebi wee ni mzuri sana...una rangi nzuri jamaniii "
Sikujihangaisha kujikagua upya kwenye kioo maana najijua kwa rangi yangu ya mbabuko na sura yangu.
Ameishia kuisifia namba yangu ya simu kuwa ni nyepesi haisahauliki....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hiyo kwani imekuwa dediketeti kwangu? Tangu lini MUGUMU akapata ka dedication bana? [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutakupiga mawe kwa hasira[emoji124]Kaitikie wito wangu kule kwanza we pimbi
Unaniudhi ujue[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]mfyuuuuHivi hiyo kwani imekuwa dediketeti kwangu? Tangu lini MUGUMU akapata ka dedication bana? [emoji1][emoji1]
Kweli yajayo yanafurahisha wapi tena hiyo supriseUko vizuri pimbi ake.
Ngoja nikupeleke kwingine sasa
Kagumu ka CHACHAWA. Jeshi la mtu mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu yaani unazingua dah !!!Hivi hiyo kwani imekuwa dediketeti kwangu? Tangu lini MUGUMU akapata ka dedication bana? [emoji1][emoji1]
Shwaiiiiiniiii kabisa (in Andjul's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaniudhi ujue[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]mfyuuuu
Sidanganyiki. Unisifie uongo nijichekeshe?