Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Gubao ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili ni gubao,halafu litakuwa linaunguza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huu uzi umeharibu akili yangu akiii tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nyie nyie watoto [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mmekula nini?
Uzi huu ulipokia ni pabaya.
Upako wooote umefutika
Usinilishe maneno ningendako[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kuna mengine yanaunguza carba?
Wewe umo?Wapo bro, hii dunia watu wote hatuwezi kuwa sawa, japo kwenye kumi kuna mmoja wa namna hii
Hahahahahaha!Viumbe gani hao?
Gubao???ni lile bao lakini hili ni kubwa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Gubao ni nini?
Yaaaani mimi??nilambe jasho la kwapa??bora hizo hisia ziendelee kulala tu,akiii tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mwanamke atatumia jasho linalozalishwa katika kwapa kujipaka katika Lips za midomo yake basi itamsaidia sana katika kuamsha Hisia zao, na pia inasaidia katika kurekebisha mzunguko wa hedhi, hiyo ni kutokana na utafiti kama ulivyofanyika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui carba, ningejua wala nisingkuulizaUsinilishe maneno ningendako[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hata sijui kama tumesalimiana kwa kweli. Leo uzi huu umeingiliwa na nini sijui. Ni moto kwa kwenda mbele. Maandaeitini leo mnatokotesha injini balaa...Angalieni tu zisije zikaungua...Hahahahahaha!
Hivi mkuu leo tumejuliana hali kweli???
Maana tangu asubuhi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nipo Bro!Wewe umo?
Utakuwemo?