Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Lognormal
Nimefurahi tu kua unaenda kumuona mgonjwa india hahaa yaaniMbona unacheka tena
Nimetega sikio kusikiliza sauti nyororonataka kuimba
Nipe basi napenda mziki mzuriKuna nyingine nitakupa Sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umelivalia kibwebwe janga lililo nipata si mchezoNyumban kwa kichwa ni hapaView attachment 533210
babe S yuko wapi?[emoji504] [emoji503] [emoji520] [emoji521] [emoji519]
Yule yule
itakuwa kibiti huko[emoji125] [emoji125]Balaa tupu nahisi marungu yanaongeza unga
Hii ngoma ukiimba kwa kupayuka ndio inakuwa nzuri zaidi tena wakati wa kuogaraha ya kujaza nawe ujazwe
huu mchezoo mwenzanguuu jaza ujazweeeee.... naimba jamani
Mkuu una haribu [emoji16] [emoji16] [emoji16]Penda sana wewe toto unaviruga kumoyo kweli kweli mama