Mkuu ufisadi ni mpana sana, hauwezi kuisha kirahisi maana unaanzia kwa mume na mkeTutakomesha kabisa ufisadi!
Jay Z4.44
Mayo wee!!!Karibu kwenye chemchem ya mapenzi na upendo wa kweli
Coolshwariii
kaa pembeniHivi huu uzi vp...! maana hadi unakera kila siku upo huku mbelembele sijui nani anaufufua...Me binafsi siumandi hata kidogo kama vipi utulewe tu hapa.. maana hakuna cha maana kinachojadiliwa hapa..
But ni (Povu) joking tu wakuu sina la kutyping ndo maana...Ila tupieni LIKES hapa kama kalambwanda wakuu