[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hiyo hiyo nta tamu nzito ina rangi gani vileee?!!View attachment 778533
NAKUITA
Njoo !!!
Nakuita.
Njoo twende.
Katika bustani yetu mpya
Tuliyoipanda katika vilima vya fikra zetu chokonozi
Nawaona nyuki wenye afya
Wakizunguka huku na huko kwa furaha
Huku wamebeba nta tamu mbichi nzito
Kutoka katika maua yetu yenye siri ya uzima
Tuliyoyapanda katika mioyo ya Edeni yetu changa
Nakuita; Ewe binti mwema mpole usiye na makuu
Hebu sogea hapa karibu nami.
Ili nikuonjeshe nta hii tamu nzito
Kisha tupumzike katika kumbato tamu la kweli
Huku tukisubiri asubuhi yetu njema
Itakayotuonyesha ramani sahihi ya maisha yetu.
KUTAPAMBAZUKA !!!
(C) SYB - JF
They see SweetleeHabari ya hapa ndani?
Hapa nje bhanaHabari ya hapa ndani?
Shuainii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema bro...They see Sweetlee
I see sweetheart [emoji8] karibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shuainii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jiandae kulala sebuleniNakutakia usiku wenye Gundu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hee!A Colombian woman once found a potato growing in her vagina.
Jizazi....A Colombian woman once found a potato growing in her vagina.
Bro i sencerely congratulate y'allThey see Sweetlee
I see sweetheart [emoji8] karibu
Nta ya maua kwa kawaida ina rangi ya pink...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hiyo hiyo nta tamu nzito ina rangi gani vileee?!!
Me tooooBro i sencerely congratulate y'all
Mpendane daima
Salama mama, habari ya majukumu?Habari ya hapa ndani?
Asante Babe [emoji131][emoji177]They see Sweetlee
I see sweetheart [emoji8] karibu