[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba,ledada kitoo maize mixer pyaar beans with sweetlee peanuts[emoji124][emoji124]
Kwa kifupi nimepika makande[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Yupo hapo Masaki. Ukifika pale Petro Brasil ulizia tu kwake utaonyeshwa. Mavogue huwa yanapishana hapo hasa nyakati za jioni. Jipange [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanda ya ziwa kwa kawaida makande huliwa jioni. Huko kwenu huliwa brekifasti ama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweeeh!
Wakija mi sku saidii
Unakula makande ndio chakula ya kulalia?
Kiongozi.Mkuu HARUFU, habari yako mkuu. Umeadimika sana