BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Naam na population kuongezeka kwa kasi ya kutisha huku Serikali ikiwa haina mipango yoyote ile ya maana ni bora liende tu! TUTAJUTA!
Kubadili jinsi ya kufikiri mambo kwa mapana ndio tatizo, watu wamekuwa wakiishi kimazoea