Kubadili jinsi ya kufikiri mambo kwa mapana ndio tatizo, watu wamekuwa wakiishi kimazoea
Bro lakini maji yanachangamshaNaunga mkono hoja
Kwema Cole?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema bro mimi nakutakia kila laheri asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
People fall in mysterious ways bro Kwema
Kweli ni changamoto sana maana Katika kuongezeka population duniani afrika pekee itachangia asilimia 50 ya population yote na Tanzania tukiwa vinara kufikia 2025.Naam na population kuongezeka kwa kasi ya kutisha huku Serikali ikiwa haina mipango yoyote ile ya maana ni bora liende tu! TUTAJUTA!
Kwema Ledada we ni wa ArushaKwema Cole?
AiseeeeKwema bro mimi nakutakia kila laheri asee [emoji23]
duh!Wale wa wanaokula majani toka milima ya Usambara
rudini muweke 'likesEnyi mnaoweka post zenu na msigonge likes yoyote
Kuna ukweli hapoMen in suits look really successful, until you find out they work for men in t-shirts and jeans. [emoji848][emoji848][emoji848]