Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Study yourself. Get to know what you like and what you want out of life. Once you know, nothing can stop you.
13. "Unajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakmu/majaji, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria" *Lamar_Smith*
14. "Kuliko kuwapa wanasiasa ufunguo wa maisha yako, ni bora ubadili kitasa" *Doug_Larson*
AwesomeStudy yourself. Get to know what you like and what you want out of life. Once you know, nothing can stop you.
15. "Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" *WinstonChurchil*
15. "Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" *WinstonChurchil*
Inaonekana hii picha inakuzingua sana bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahaInaonekana hii picha inakuzingua sana bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We made mistake man!! The man is awfulWatanzania wengi tuna shida kwny ku-reason, especially serious issues za taifa. Tuliamini kuwa mtu kutokuwa fisadi basi anafaa kuwa kiongozi.
Sasa tunajuta!
We made mistake man!! The man is awfulWatanzania wengi tuna shida kwny ku-reason, especially serious issues za taifa. Tuliamini kuwa mtu kutokuwa fisadi basi anafaa kuwa kiongozi.
Sasa tunajuta!