capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Upo na babe walking through the streets mara mnapishana na bonge la zigo. Unajikaza usigeuke nyuma kusoma plate number, na anaona una struggle kujikaza mara anakwambia, angalia tuu Baba nyie si uwa hamridhiki