cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Kuna anayekwazika humu kweli? Na utani wote huu mtamu?Mnisamehe niliyowakwaza hapa na pale.
Tusahemeane tu wakuu.
AmeshaitikiaTANGAZO TANGAZO TANGAZO
Ajira Ajira Ajira
Siyo kushuhudia ukilimeng'enyua? Mbona hivyo tena?U will be the first to cheer up
Uzi huu mtamu wewe. Watu huwa wanaaga lakini hawaondoki [emoji23][emoji23][emoji23]Nawatakia usiku mwema kwa mara nyingine tena.
Hahaa mara hii mshaanza kuvurugana hadi kumoyo