Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kuna mahali unatakiwa ku_ tick to verify ur acc before saving changes. Tick then save.Kwenu JF App inafanya kazi? Mimi tangu jana imenigomea. Nime-uninstall na kuiweka upya mambo ni yale yale. Ni huu mkweche wangu wa simu au app ndiyo ina matatizo?
Nimeshafanya hivyo na imekubali. Asante sana mkuu.Kuna mahali unatakiwa ku_ tick so as to verify ur acc before saving changes. Tick then save.