myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ulikua hujajibu..sasa haagi tena ..Mbona unaaga sana hivi?...usiku mwema na kwako pia
Siku hizi tunawafuata huko huko juu na kuwateremsha kwa nguvu!Aliyeko juu mngojee chini.
Kwani tukilala huku tunawasikiliza kuna ubaya gani? [emoji23][emoji23][emoji23]Hatulali mpaka tuwasikilize
Ukifuatilia kwa makini utawaelewa wanaokuja kwa ajili ya ku refresh na wanapotea, muhimu kuwe na nafasi mtu aongee kwa uchache kitu anacho kijua kwa manufaa ya wengine. Kuna mkuu SHIMBA,Mark Msue, mzee wa liver,kwa uchache na wengine wengi wapo[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa watu wasi concetrate na mitongozo hii maana hizi mbwembwe tu.
Upo mkuu..nachukua ujuzi kwenuTupo kamanda...Ila sijui kama nami nimo kwenye hilo group la wakubwa...
Ukifuatilia kwa makini utawaelewa wanaokuja kwa ajili ya ku refresh na wanapotea, muhimu kuwe na nafasi mtu aongee kwa uchache kitu anacho kijua kwa manufaa ya wengine. Kuna mkuu SHIMBA,Mark Msue, mzee wa liver,kwa uchache na wengine wengi wapo[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa watu wasi concetrate na mitongozo hii maana hizi mbwembwe tu.
Wape cheni,hereni,bangili au pete,usiwape madiniMtto mzuri aje inibokisi nimpe madini
Wewe Cocochanel ni mswahili orijino wa pwani wewe. Methali zingine hizi zinaonekana kama zilitungwa na Fumo Liyongo au Muyaka!Kila muacha samboye hwenda ali mwanamaji.