myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mliotoka kazini
Kila mtu ana umuhimu wake
Poleni wagonjwa Mungu awaponye
Kwenu JF App inafanya kazi? Mimi tangu jana imenigomea. Nime-uninstall na kuiweka upya mambo ni yale yale. Ni huu mkweche wangu wa simu au app ndiyo ina matatizo?
ilisumbua sana jana mpaka asubuhi leoDuu, mimi nikajua ni Kwangu tu. Nilidhani andjul katengeneza ka virus akakarusha kwenye simu yangu ikawa infected, eti apate data! Angeambulia data za mazalio ya samaki tu, chezea mvuvi wewe! [emoji23][emoji23]
Wanadai Ingia kupia browser log in then accept terms and policyDuu, mimi nikajua ni Kwangu tu. Nilidhani andjul katengeneza ka virus akakarusha kwenye simu yangu ikawa infected, eti apate data! Angeambulia data za mazalio ya samaki tu, chezea mvuvi wewe! [emoji23][emoji23]
.Wanadai Ingia kupia browser log in then accept terms and policy
Baada ya hapo rudi kwenye app Itakuwa powa
Bro, this is deep...Baya lisilonidhuru ni jema lisilo na faida