cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Salama kaolewaSalama
Huu uzi haufai kwakweli maana ni zaid ya cocaineHii ni mara ya saba anaaga. Nilishasema uzi huu ni kama Cocaine [emoji23][emoji23][emoji23]
OooooohhhUnavyo rudi unijiage na barua kama hii
Walikukomaje? Unaweza kufafanua?Nyani haoni kundule, huliona la mwenziwe.
Methali hii walimu wa kiswahili walinikoma nayo eeeeeeh
Hujaunguza hata mboga kweli kwa ajili ya uzi huu?Huu uzi haufai kwakweli maana ni zaid ya cocaine