Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole mkuu. Wangu bado yupo japo kazeeka na anaumwa umwa. Nahakikisha kuwa nafurahia every moment. Tunakaa jioni hashikome ananisimulia walivyokutana na mshua, stori zake za ujana, tunaimba na nyimbo kabisa. Zote nazirekodi kwa faida ya wanangu watarajiwa siku moja. Mungu ni mwema!
Mtunze sana. Akuambie kila kitu anacho kiona kinafaa kulea watoto wako, na yazingatie yote, ukiyaenzi utafanikiwa sana. Nina ushahidi kwa hilo, maana wangu aliomba tusali na tulipo maliza kusali tu akaniaga na kukata roho. Maneno yake ya mwisho yanaishi mpaka leo

Back
Top Bottom