Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

da64dc47299a6224c7bace027712e81d.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtunze sana. Akuambie kila kitu anacho kiona kinafaa kulea watoto wako, na yazingatie yote, ukiyaenzi utafanikiwa sana. Nina ushahidi kwa hilo, maana wangu aliomba tusali na tulipo maliza kusali tu akaniaga na kukata roho. Maneno yake ya mwisho yanaishi mpaka leo
Asante mkuu. Nalitambua hilo. Na pengine ndiyo maana nimebarikiwa sana kwa kiwango changu. Pole tena na hongera angalau kwa kupata hiyo nafasi ya kuagana na mzazi kwa njia hiyo njema na amani. Ndiyo maisha!
 
Ayabadili maisha yetu kivipi?? Au kuwa waizi wa mali za uma kama kama kwenye hii...
02f4e46d1f0d55925856404fc2a3d7b2.jpg
Huko mnakoelekea siko. Nendeni kwenye jukwaa la siasa mkagongane huko. Wengine tuko huku ili kupunguza stress za huko jukwaa la siasa (mafisi vs. manyumbu)...na kwingineko. TOA LIKES KAMATA LIKES...it's as simple as that!!!
 
Back
Top Bottom