Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huko mnakoelekea siko. Nendeni kwenye jukwaa la siasa mkagongane huko. Wengine tuko huku ili kupunguza stress za huko jukwaa la siasa (mafisi vs. manyumbu)...na kwingineko. TOA LIKES KAMATA LIKES...it's as simple as that!!!
Nimeshaifuta mkuu. Amani itawale. No politics over here!!

Kula like!!
 
Back
Top Bottom