ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Sijui hata[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli
He just said it, ina maana huniamini?
Sijui hata[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli
He just said it, ina maana huniamini?
Sawa bob move out of the way sasaSikuwahi kubahatika kuona lakini naamini nilifichwa kuona kwa sababu maalum
Kama kawaidaUjumbe mzuri ila masiara mengi
Ni vijimambo kila kukikuchaSasa katoa hiyo kauli bila kuwaza mimba inapatikana vipi sijui?
[emoji55] [emoji55] sole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimekula kitu kibovu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Heeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee
Hakika mkuuNi vijimambo kila kukikucha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale jamaa ni waogeleaji wazuri hawajali cha gravity wala nini. Utashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sijui hata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binti mwema mpole usiye na makuu. Nipo. Nafurahi kusikia kuwa hujambo. Endelea kumtegemea Mungu naye Hatakuacha. Mengine yote katika dunia hii ni madogo. Na wambea wapuuze tu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Atakeye muona SYB mwambie namsalimu
Mkinipita sikubali nabishaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We nawee
Nimeona bro. Nimeshaitikia...Bro unasalimiwa huku bro bro
Hatuta jupota mama sabriMkinipita sikubali nabishaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naomba uniaminiiiii nnaomba uniaminiii[emoji445]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Binti mwema mpole usiye na makuu. Nipo. Nafurahi kusikia kuwa hujambo. Endelea kumtegemea Mungu naye Hatakuacha. Mengine yote katika dunia hii ni madogo. Na wambea wapuuze tu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wapuuzi tu. Nime-uninstall app zaidi ya mara mbili. Nikafikiri pengine kuna mtu kanichomea picha zangu za misamwanda nimekula ban...Braza wamenihangaisha jana kishenzi na kwa tusio tumia browser tulipata shda sana