Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The first time I met you, i had no damn idea I'd love you this much.
Wuhuuuuuu...

Uzi huu uendelee kubarikiwa...

Tuwatakie kila la heri wapenzi hawa wapya wa uzi wetu uliobarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Jakitoo - you have all the blessings from your lovely and caring dadiiiii...
 
Binti mwema mpole usiye na makuu. Nipo. Nafurahi kusikia kuwa hujambo. Endelea kumtegemea Mungu naye Hatakuacha. Mengine yote katika dunia hii ni madogo. Na wambea wapuuze tu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dadij wangu shkamooo.....Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] ....Za kwako?
Nakazia kwa wambea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom