Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa carbamazepine
Punguza umbea
 
Natania bro...

Kuna jimama kule Temeke mtaa wa Wailesi lilimaliza mtaa mzima enzi zile...literally...

Jimama la Kimanyema refu jeupe umbo mkatiko guu guu mtako mning'inio macho ka limekula kungu sauti nyororo tamu leweshi halafu lilikuwa na pesa mwe. Wachezaji mashuhuri wastaafu wakawa wanachovya chovya pale mh...Mtaa mzima ilikuwa kileo na kusaga meno. Kama umeshtuka bro kaa mbali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Daaah
She was killing em
Maaan!!
 
Hata hujaniambia binti. Vibaya hivyo. Mimi kweli ni wa kusikia habari njema kama hizi mitaani? Haya bana [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Dadii pls wambea wanapata habari hapa ujue[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .....
 
Natania bro...

Kuna jimama kule Temeke mtaa wa Wailesi lilimaliza mtaa mzima enzi zile...literally...

Jimama la Kimanyema refu jeupe umbo mkatiko guu guu mtako mning'inio macho ka limekula kungu sauti nyororo tamu leweshi halafu lilikuwa na pesa mwe. Wachezaji mashuhuri wastaafu wakawa wanachovya chovya pale mh...Mtaa mzima ilikuwa kileo na kusaga meno. Kama umeshtuka bro kaa mbali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah!! Nimekuelewa bro pia katika maelezo yako hizo sifa za jimama zimenigusa sana nashukuru sikua huko temeke mana ningekua kwenye list ya wahanga [emoji23][emoji23]
 
Dadiiiii ni nini lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona kijana uzalendo umemshinda kaamua kujiripua. Soon nitapeleka mswada bungeni Jembekillo atangazwe kuwa ni hazina ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom