Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Punguza umbea
 
Daaah
She was killing em
Maaan!!
 
Dadii pls wambea wanapata habari hapa ujue[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .....
 
Hahah!! Nimekuelewa bro pia katika maelezo yako hizo sifa za jimama zimenigusa sana nashukuru sikua huko temeke mana ningekua kwenye list ya wahanga [emoji23][emoji23]
 
Dadiiiii ni nini lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona kijana uzalendo umemshinda kaamua kujiripua. Soon nitapeleka mswada bungeni Jembekillo atangazwe kuwa ni hazina ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…