Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siumeona sasa drama nyingi, zamani wakina Stone cold wanatoka wamepasuka vichwa wanabebwa na machela
Stone cold steve austim
We kweli ni mdau jamaa wamikuwa wana pigana kama na vipipa
Sku hizi mtu anatoka kwenye mieleka anaeza hadi kuhudhuria harusi yaa. Bata tuu hata jasho haliwatoki
Thay shit is fake AF
 
Hahah!! Mchezo umeshaharibika huu, ata zile special days kama Royal Rumbel sijui mr money in the bank, last man stand, I quit na mengine mengi ni utoto mtupu...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We jamaa kweli ulikuwa mdau

Na ndio maana now kma mimi tu unajikuta umechill tu zamani ilikuwa zamani
Kina Goldberg alicheza mechi.kama 100 hivi hakuna anaye mpiga. Enzi za kina DX
Sku hizi walipo wanazingua tu
 
Back
Top Bottom