mmmh acha uwongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nsha lala now wewe ndio umekuja kuniamsha
Kusha kucha usilaleNadondoka kwa bed
shamba gani sahv?Naingia shambani wakuu
Hahah!! Muhusika mwenyewe sasa anaelewa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina la kusema bro, what can i say
Yaani hukumu uliyo itoa mheshimiwa jaji ndio iko hvo hvo
hukuniamshaKweli
Halaf jana yoote hujaonekana Inna
Ulikuwa wap?
sahz watu wanalimishwa labda kama na ww unaenda kulimishwaaShamba kulima
Saa 10 hii[emoji1]
AaahHahah!! Muhusika mwenyewe sasa anaelewa?
Hahah!! I remember those days[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We jamaa kweli ulikuwa mdau
Na ndio maana now kma mimi tu unajikuta umechill tu zamani ilikuwa zamani
Kina Goldberg alicheza mechi.kama 100 hivi hakuna anaye mpiga. Enzi za kina DX
Sku hizi walipo wanazingua tu
Skujuahukuniamsha
Malizia mkia huuNaingia shambani wakuu
Saa kumi kusha kucha nowsahz watu wanalimishwa labda kama na ww unaenda kulimishwaa
Umebaki mkia tu mzeeNadondoka kwa bed